Friday, February 28, 2014

hekima za rude rodgers kuhusu maalmando

MECKA CHEKA + JAMBO SQUAD = MAALMANDO WATOTO WA BIBI .....wote ni watu wangu wa karibu kama sio ndugu zangu,nafurahi kuskia mmemaliza tofauti zenu na kuendeleza harakati za muziki kama kawa,pia ningefurahi kuskia siku moja umefanyika wimbo wa pamoja na nikaiskia sauti ya BAM MSUMBUFU ..ARUSHA bila beef zisizo na maana inawezekana na inatupasa tupambane na maadui na sio sisi kwa sisi,,maneno haya yana maana kubwa sana kwa kua ni #babalao_kasema #wape_taarifa

1 comment: