Monday, October 23, 2017
Sunday, October 22, 2017
Saturday, October 21, 2017
Friday, October 20, 2017
Thursday, October 19, 2017
Thursday, October 5, 2017
Tuesday, October 3, 2017
‘BODAK YELLOW’ YA RAPPER CARDI B IMEWEKA REKODI MPYA KATIKA CHART ZA BILLBOARD
Baada ya kuvunja rekodi ya kuwa mwanamke wapili kuingiza nyimbo yake
katika top 100 za billboard na kuweza kushika namba moja sasa Cardi B
ameweka rekodi nyingine hii ni baada ya ngoma yake ya Bodak Yellow
kuweza kuendelea kushika namba moja katika chart za Billboard kwa wiki
ya pili sasa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya
vizuri hata kukaribia kuwafunika wakongwe kama Nick minaj,Remy Ma
amewashukuru kwa kuandika maneno haya“THANNNKKKK YOUUUU!!!!!! Everyyyyybodyyy .Im giving all my followers a Dollar…SIKEEEEEE!!!!…ain’t got money like that yet.”
Female Rapper huyo bado yupo kwenye mpango wa kuachia Album yake lakini
baadhi ya wasanii wamemwambia asiwe na haraka kwa maana kwa sasa game
nzima ni yake kwakuwa baadhi ya wasanii wakike wanao rap wapo kimya
sana,Mmoja ya wasanii waliompa ushauri huo ni J cole.
Hizi ndio Chart za Billboard mpaka sasaBillboard Hot 100 Top 10
1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
5. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
6. French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Portugal. The Man – “Feel It Still”
8. Imagine Dragons – “Believer”
9. Yo Gotti feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”
10. Demi Lovato – “Sorry Not Sorry”
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...