Wengi tunamfahamu Nando, nyota kutoka Tanzania aliyewahi kushiriki shindano la Big Brother Afrika-The Chase, hali yake imekuwa mbaya kutokana na madawa ya kulevya na imemfanya Rapper Nikki Mbishi kuongea mengi.
Baada ya picha kibao kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Nando kwenye hali mbaya, Rapper Nikki Mbishi
anahuzunishwa na matatizo ambayo rafiki zake wanakutana nayo kwa
kuingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kuwafanya kupotea katika
michongo yao ya kimaisha hadi kupelekea Nikki kujiuliza kwanini Mungu?, Kupitia kurasa yake Instagram, Nikki Mbishi amefunguka mengi kuhusu Nando
kwamba anamtaka aachane na matumizi hayo, kwasababu alikuwa anaamini
kwamba hatua ambayo Nando aliifikia ilipaswa awe mfanya biashara mkubwa.
‘nikkimbishi#NANDO stop
whatchu doin bruh,get off whatchu on to! I’d like to see u this
effectively healthy. Hatua uliyofikia ulipaswa kuwa mfanya biashara
mkubwa due to the huge exposure you got for reppin’ yo country in #BBA.
Come back to the essence of time home boy. Mkono wa Mungu na ukuguse
na usisite kugeuka ukiguswa,sipendi picha zako zinazosambaa
mitandaoni,jifunze kupitia kaka zako waliopotea kwenye hayo mambo.
#UNLUCKY_ME Most of my friends are unfortunately dragged into drugs
but why GOD? Be Blessed and happy new year!’ Aliandika Nikki Mbishi.
Monday, January 2, 2017
Yemi Alade kuhusika kwenye tuzo za Grammy (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)
Wakati mashabiki wa muziki Afrika nzima wakiwa wanasuburia tuzo ya Grammy kutoka kwa Wizkid kupitia wimbo wa Drake wa “One Dance”, Yemi alade amepokea mwaliko wa kuhudhuria tuzo hizo.
Afrika inazidi kusonga mbele na kufanya vizuri kwenye sekta ya muziki
kwa kuwakilishwa na wasanii kibao kutoka kila pande ya Afrika, Sasa
msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade anayetamba na kibao chake cha “TumBum”, ameamua kushare na sisi mwaliko wake alioupata kwa ajili ya kuhudhuria tuzo za Grammy zinazotarajiwa kufanyika Mwakani February 12 siku ya jumapili.
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...