Monday, October 27, 2014

Watoii Wa TZ-Nna HIV (Mix.Noiz) WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

Bofya HAPA http://hu.lk/tjc2h8zflz40 kupakua wimbo wa Watoii Wa TZ kwa Jina "Nna HIV" ikiwa imefanywa pande za Noizmekah Studios na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na Watoi wa Tz aka Machokoraa kwa nambari +255 763 765 130 au +255 684 630 730 -- Watoii Wa TZ-Nna HIV (Mix.Noiz) http://hu.lk/tjc2h8zflz40

Bofya HAPA http://hu.lk/1bbdv6yspzxs kupakua wimbo wa KingBoy ft Paradise-Mautundu WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

Bofya HAPA http://hu.lk/1bbdv6yspzxs kupakua wimbo wa KingBoy ft Paradise-Mautundu na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na KingBoy kwa Nambari +255 766 824 341

Bofya hapa https://mkito.com/song/sina-habari-nao-ft-wise-man/3059 kupakua wimbo mpya wa RUDE RODGERS [BABALAO] WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

Bofya hapa https://mkito.com/song/sina-habari-nao-ft-wise-man/3059 kupakua wimbo mpya wa RUDE RODGERS [BABALAO]..Uitwao SINA HABARI NAO akiwa amemshirikisha WISE MAN upande wa kiitikio..wimbo umefanyika chini ya studio za KAZAWAZA RECORDS kwa mawasiliano anapatikana kwa namba 0756978662 au 0714010913..powered by www.babalaoinc.blogspot.com

Sunday, October 26, 2014

Mike Mchay ft Ibra Da Husla-OverStand (NOIZ) WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

Bofya HAPA goo.gl/tDPcNx kupakua wimbo wa Mike Mchay akiwa amemshirikisha mkongwe toka Nako 2 Nako Ibra Da Husla katika wimbo kwa jina "OverStand" na kwa mawasiliano zaidi check na +255 683 346 875 au +255 713 822 668  -- Mike Mchay ft Ibra Da Husla-OverStand (NOIZ) goo.gl/tDPcNx

Vatoloco-Break me down [Official Video] WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM http://youtu.be/HS8bqvNtNm8

Click HERE http://youtu.be/HS8bqvNtNm8 to watch "Vatoloco-Break me down", A Wanene Entertainment Production.Audio by Darsh/Goncher (Majembe Recs) Official Video directed by Darlington (Cyne Studios Arusha).

G wa Michano ft Ibra Da Husla-Toka Kitambo (NOIZ) WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

Bofya HAPA http://goo.gl/dgnLVu kupakua wimbo wa "G wa Michano" akiwa amemshirikisha Mkali toka Nako 2 Nako "Ibra Da Husla" na wimbo kwa jina "Toka Kitambo" kwa mawasiliano zaidi check na G wa Michano kwa Nambari +255 758 301 843 powered by www.vmgafrica.com -- G wa Michano ft Ibra Da Husla-Toka Kitambo (NOIZ) http://goo.gl/dgnLVu

M2Bee-Tandam (Mixtape.Noiz) WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

Bofya HAPA http://goo.gl/sw8I3U kupakua wimbo wa kundi la "M2Bee" wanaowakilisha vizuri MOSHI TOWN na ngoma kwa jina "Tandam" ikiwa ni dancehall category na kwa mawasiliano zaidi check na M2Bee kwa nambari +255 752 757 079 au +255 762 243 290 powered by www.vmgafrica.com -- M2Bee-Tandam (Mixtape.Noiz) http://goo.gl/sw8I3U

Monday, October 20, 2014

TUNAKATA MAJI....MAMBUNG'O ft JAMBO SQUAD bofya hapa kupakua ngoma io https://mkito.com/song/tunakata-maji/2832 [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/tunakata-maji/2832 kupakua wimbo "TUNAKATA MAJI" wa kundi "Mambung'o" wakiwa wamewashirikisha Jambo Squad Juu ya beat toka DM Records na vocal Mixing Pande za Noizmekah Studios, Ngoma ni Dancehall Category na kwa mawasiliano zaidi check nao kwa nambari +255 763 673 340 au +255 762 114 054 powered by www.vmgafrica.com

Saturday, October 18, 2014

http://goo.gl/E7tVoK MAUNDIO MIDDLE RYHMES [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA kupakua wimbo wa "Middle Rhymes" ikiwa ni HipHop bounce category toka Noizmekah Studios kwa Jina "Madundio" kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na Middle Rhymes kwa Nambari +255
766 676 865 au +255 765 682 948 -- Middle Rhymes-Madundio (NOIZ) http://goo.gl/E7tVoK

MAHAKAMA YA KISUTU YAMZUIA DAVIDO KUPERFORM KATIKA TAMASHA LA FIESTA [www.babalaoinc.blogspot.com] HII NDO TANZANIA

MAHAKAMA YA KISUTU YAMZUIA DAVIDO KUPERFORM KATIKA TAMASHA LA FIESTA Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion, October 18,2014. Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu , mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times Fm Promotion. Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka maombi ya dharura mahakamani hapo wakiitaka mahakama kumzuia msanii huyo kuperform katika tamasha hilo kwa kuwa licha ya BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania) kukataa kutoa kibali cha msanii huyo kwa maelezo kuwa tayari alikuwa ameshachukuliwa kibali cha kuperform nchini November 1 kwenye tamasha lililoandaliwa na Times Fm Radio, Clouds Fm na Prime Times Promotion waliendelea na taratibu zote bila kujali zuio hilo la BASATA. Times Fm Radio na Times Fm Promotion waliiomba mahakama kuidhinisha madai yao dhidi ya Clouds Fm, Prime Promotion na mkurugenzi wa kampuni inayomsimamia Davido, HKN Music. Madai hayo ni pamoja na kulipwa fidia ya gharama na usumbufu waliosababishiwa na walalamikiwa kadiri Mahakama itakavyoona inafaa. Mahakama imetoa amri kuwa msanii huyo amezuiwa kufanya onesho hilo October 18,2014 hadi pale ufumbuzi wa kesi hiyo utakapopatikana mhakamani hapo. Awali, Davido alisikika katika matangazo ya Times Fm Radio akieleza kuwa atakuja Tanzania November 1 kwa ajili ya kufanya onesho linaloandaliwa na kituo hicho cha radio lililopewa jina la ‘The Climax’

Single ya kwaza kuachiwa katika Project ya The Element ya DUKE kutoka M - LAB ikishiriki​ana na AJ Records Dodoma https://t.co/gZLvIzb708. [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Msanii MIRACLE toka DDC (Dom Down Click) Ngoma inaitwa - NAELEKEA IKULU Producer - DUKE TOUCH Contact - +255653408028 (MIRACLE)

WANAITWA DDC...TAZAMA VIDEO YAO INAITWA MAZISHI KUPITIA LINK HIO HAPO https://www.youtube.com/watch?v=UTj9I5FQs6w [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Directed by Raph Tz Audio: AJ Records; Prod. Lil Bello DDC CREW: Adam Shule Kongwe, Saliloo, Andre K, Slogan, Miracle, Gilson & Javan Dodoma Yotube Link: https://www.youtube.com/watch?v=UTj9I5F
Directed by Raph Tz
Audio: AJ Records; Prod. Lil Bello
DDC CREW: Adam Shule Kongwe, Saliloo, Andre K, Slogan, Miracle, Gilson & Javan
Dodoma
Yotube Link:
https://www.youtube.com/watch?v=UTj9I5FQs6w

Thursday, October 16, 2014

.TAZAMA PICHA ZA MWANADADA WAJE AKITUA TANZANIA [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM....TAZAMA UJIO WA MWANADADA WAJE AKITUA TANZANIA


Milango ya Uwanja wa ndege wataifa wa Mwalimu Julius Nyerere  ilifunguka kumkaribisha Waje bongo


Hakika alionekana na furaha Kutua tanzania





Waoooo


Waje akiojiwa na mtangazaji wa clouds media baada ya kuwasili


MUZIKI WA HISIA 3rd EDITION...kinahappen 25th OCTOBER [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

@hisiatz officially launching "Gimme a Call" Video on 25th October kwenye "Muziki Wa Hisia 3rd Edition" @ AllianceFrançaise Arusha
Produced by @johnbgrand
Video by @waneneent Directed by @26_hanscana ‪#‎SupportAfricanArtists‬ ‪#‎shidampya‬ Powered by www.vmgafrica.com

SUPPORT KUPITIA MKITO KUPATA NGOMA HALALI YA MSANII[WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]Pakua Beat ya Reggae hapa Bureeeeee https://mkito.com/song/beat-1-mkito-wa-reggae-vol-1/2790

Pakua Beat ya Reggae hapa Bureeeeee https://mkito.com/song/beat-1-mkito-wa-reggae-vol-1/2790

Thursday, October 2, 2014

DOWNLOAD KATIKATI YAO KUPITIA LINK HII HAPA https://mkito.com/song/katikati-yao/2826

https://mkito.com/song/katikati-yao/2826

NAIROBI MPAKA ARUSHA,,ARUSHA MPAKA NAIROBI..DOWNLOAD MUZIKI MZURI KUTOKA KWA Blackgzas Dadi & Kz Getano music mp3

give thenx to the most high JAH rastafarai please go share an down load free OUR NEW HIT @http://mdundo.com/a/5462 Download Blackgzas Dadi & Kz Getano music mp3 | Mdundo.com mdundo.com Download Blackgzas Dadi & Kz Getano music mp3 | Mdundo.com mdundo. Download Blackgzas Dadi & Kz Getano music mp3 | Mdundo.com mdundo.com