Mayweather ndani ya upromota (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)
Baada ya kufanya kimyakimya kazi ya upromota, sasa bondia nyota Floyd
Mayweather ameamua kufanya hadharani. Sasa ameonekana akisimamia pambano
la mabondia Badou Jack (kushoto) na James DeGale (kulia) akiwa ni
promota
No comments:
Post a Comment