Msanii
Jacob Makala maarufu Kama JCB kutoka Arusha anawaomba wale wote
Wanaompenda kama Msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuandika na Flow tamu
Muupigie kura wimbo wake wa DRIVE SLOW alomshirikisha PROFESSOR J uingie
katika Kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music
Awards 2014.
Kuupigia kura wimbo wa JCB DRIVE SLOW
uingie kwenye kinyang’anyiro hicho KTMA ktk kipengele cha WIMBO BORA WA
HIP HOP ANDIKA SMS {9 DRIVE SLOW JCB ft PROFESA JAY kwenda namba
15440} na kuuupigia kura uwe WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA andika sms {12
DRIVE SLOW JCB ft PROFESA JAY kisha tuma kwenda 15440}
Ni time ya kumuonyesha JCB kama wewe ni mtu wake wa nguvu kwa kuupigia wimbo wake kura tu halafu mnazidi kuwa Washkaji…..
“Ninacho kiamini mimi ni kwamba NGOMA NI KALI INA DESERVE…… kura yako ni muhimuPia unaweza kumpigia kura Online kwa kutembelea link hii maalum kwa KTMA 2014 http://kilitime.co.tz/ktma
No comments:
Post a Comment